UNA MUDA WA KUTOSHA

UNA MUDA WA KUTOSHA

1 0 3 anni fa
Muda umekuwa changamoto kwa wengi kushindwa kufikia ndoto zao. Wengi wanasema hawana muda, au wakipata muda watafanya kitu fulani. Ukweli ni kwamba huwezi kupata muda, bali unaweza kutenga muda. Sikiliza kipindi cha leo ujifunze namna unavyoweza kutenga muda wa kufanya yale muhimu kwako.

Seguici su Facebook

iAB member
Copyright 2020 - Spreaker Inc. a Voxnest Company - Crea un podcast - New York, NY
Aiuto